Mke wake alikuwepo naye sii kama bango tuuJe na wao walibeba mabango ya Museveni kama mnavyofanya Huko kwenu Bongo?
Bango ni Ibada ya sanamu kwa Masikini wanaotumikaMke wake alikuwepo naye sii kama bango tuu
Cdm kila tukio mnapita nalo,vitu vingine vya kitaifa acheni shobo,umeona kenya vurugu zao zote za kisiasa wameacha wanasapoti timu yaoJe na wao walibeba mabango ya Museveni kama mnavyofanya Huko kwenu Bongo?
Je uliona mabango ya Ruto uwanjani?Cdm kila tukio mnapita nalo,vitu vingine vya kitaifa acheni shobo,umeona kenya vurugu zao zote za kisiasa wameacha wanasapoti timu yao
Yaani wenyewe kila kitu ni siasa...Cdm kila tukio mnapita nalo,vitu vingine vya kitaifa acheni shobo,umeona kenya vurugu zao zote za kisiasa wameacha wanasapoti timu yao
Wakenya wana timu yao, Tanzania kuna timu ya mamawanasapoti timu yao
Wanapambana kutembea na matukio ili wasipotee,wanapozungumziwa ndio vizuri kwaoYaani wenyewe kila kitu ni siasa...
CCM wanatosha kushangilia...Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza mambo mengi sana ambayo yatawaongezea kitu kuelekea robo fainali.
Pia kwa upande wetu sisi Mashabiki tunalo la kujifunza. tusikate tamaa, tujenge utamaduni wa kushangilia timu yetu hadi mwisho.
Pongezi kwa majirani zetu waganda kwa kuonyesha uzalendo wa hali ya juu lakini pia kujituma kwa bidii na maarifa bila kukata tamaaa.
Yaani wenyewe kila kitu ni siasa...
Cdm kila tukio mnapita nalo,vitu vingine vya kitaifa acheni shobo,umeona kenya vurugu zao zote za kisiasa wameacha wanasapoti timu yao
Wanapambana kutembea na matukio ili wasipotee,wanapozungumziwa ndio vizuri kwao
Tumeona bango la makengeza mkuu.Je uliona mabango ya Ruto uwanjani?
Watu wamekatishwa tamaa baada ya timu kugeuzwa kuwa bidhaa ya Saa100! Actually ni upumbavuPia kwa upande wetu sisi Mashabiki tunalo la kujifunza. tusikate tamaa, tujenge utamaduni wa kushangilia timu yetu hadi mwisho.
Tanzania tumekuwa wapumbavu baada ya kuruhusu zero brain zikalie viti!Ungeanza kwa wale walipeleka mabango ya Samiah uwanjani. Wale ndio wanafanya siasa. Tupunguze unafiki na uchawa. Mbona Kenya na Uganda huo ujinga haipo.