Taifa stars mkiangalia mechi kati ya Uganda na Afrika kusini mtajifunza kitu

Ungeanza kwa wale walipeleka mabango ya Samiah uwanjani. Wale ndio wanafanya siasa. Tupunguze unafiki na uchawa. Mbona Kenya na Uganda huo ujinga haipo.
Hukuona mabango ya bob wine kwenye game za uganda?
 
Ila Kwa Mwenendo huu...ipo siku isiyo na jina CCM itaanguka....!

Hali kama hii ya CCM kukataliwa na kukosa mvuto iliwahi kuwepo kipindi kile Kikwete anamalizia Muhula wake wa pili 2015.
Ilikuwa ukivaa tu sare ya CCM barabarani unazomewa hadi pale JPM alipojitokeza kutokea kusikojulikana alipookoa jahazi.!
 
Hatutashangilia hiyo timu kwani ikishinda anasifiwa mama na ma CCM wacha tufungwe
 
Fighting spirit ya waganda (The Cranes) huwa ipo juu sana, na mpira wana uweza. Sisi tuendelee kuiombea timu yetu. Maana Morocco wanataka kumfanya Kocha wetu aache kuitwa Morocco.
 
Je na wao walibeba mabango ya Museveni kama mnavyofanya Huko kwenu Bongo?
Wacha kubeba mabango, Kenya na Rais mwenyewe yupo uwanjani. Msiingize siasa za CHADEMA kwenye football
 
Watu wamekatishwa tamaa baada ya timu kugeuzwa kuwa bidhaa ya Saa100! Actually ni upumbavu
Huwezi kumtenga Samia na mafanikio ya Tanzania Kimpira. Tafuta takwimu zote kuanzia za vilabu, CAF Confederation, CAF Championship, CHAN na AFCON hakuna Rais amewahi kufikia hata nusu yake
 
Huwezi kumtenga Samia na mafanikio ya Tanzania Kimpira. Tafuta takwimu zote kuanzia za vilabu, CAF Confederation, CAF Championship, CHAN na AFCON hakuna Rais amewahi kufikia hata nusu yake
Chawa mnateseka sana!
 
Wewe bwege unaogopa bango ambalo haliongei? Badala ya kuogopa mtu halisi ambaye anaongea na kushawishi??
Acheni kujipa umaarufu msiokuwa nao
Umewahi kusikia timu imepigwa faini kwa Rais kuwepo uwanjani?

Sasa kwa Taarifa yako Tanzania imelimwa faini kwa Mabango ya Samia kuwepo Uwanjani
 
Umewahi kusikia timu imepigwa faini kwa Rais kuwepo uwanjani?

Sasa kwa Taarifa yako Tanzania imelimwa faini kwa Mabango ya Samia kuwepo Uwanjani
Faini nayo ni chanzo cha mapato ya FIFA. Hata traffic barabarani hukusanya mapato
 
Wewe dogo wa Kyela huwezi kunifikia uelewa, upeo wa issues na elimu. Be humble
Uliyesoma Kayumba unajilinganishaje na mimi niliyesoma Ulaya?

Unasoma shule ambazo mnatumia chaki za kuazimana halafu unapambana!
 
Uliyesoma Kayumba unajilinganishaje na mimi niliyesoma Ulaya?

Unasoma shule ambazo mnatumia chaki za kuazimana halafu unapambana!
Nini kusoma Ulaya. Unaweza kusoma Ulaya ukawa umeingia Amzon College za huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…