Taifa Stars mmejua kutudhalilisha sisi Wachambuzi

Taifa Stars mmejua kutudhalilisha sisi Wachambuzi

Kuna ka msemo, uje na mafuta na asali nina kazi navyo🤣🤣🤣
Naona huo msemo utakuwa wa Vijana, Mimi nimeshazeeka Mkuu.

Nimebaki kucheza na Wajukuu zangu tu baada ya kutoka shambani 🤗
 
Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje tunaonana na Kibu Denis akiwa kashikana mkono na Dickson Job wakituukiza "Mlisema hatufiki mbali hapa ni wapi?"

Taifa Stars nyie siyo wa kutifanyia hivyo Sisi na hadhi yetu! Leo ilikuwa siku ya kukusanya maokoto Kwa kauli mbiu ya "Tulijua tu, kiko wapi?"

Taifa Stars mlichotufanyia Wachambuzi Bora tukajifiche Kizimkazi.
Algeria wenyewe hawakuwa, siriasi
 
Watanzania hamuifahamu historia ya Tanzania na Algeria.

Kilichofanyika jana ni diplomasia ya hali ya juu.

Ahsante sana mama Samia.
 
Wachambuzi wengi wa soka ya Tanzania ni sawa kabisa na waganga wa kienyeji....Hawana leseni, hawana viwango na ni wapigaji....hovyo kabisa....Wamejipachika majina ya 'kipropaganda' sawa na waganga wa kienyeji...utasikia sijui huyu ni Rais wa..., mara sijui huyu ni mkata....mara huyu ni winga....
Na kweli.
 
Uongo huu sio wa kawaida, wangefunga ungeandika nini maana walikuwa wanasaka goli ila hawakulipata.
Watanzania hamuifahamu historia ya Tanzania na Algeria.

Kilichofanyika jana ni diplomasia ya hali ya juu.

Ahsante sana mama Samia.
 
Uongo huu sio wa kawaida, wangefunga ungeandika nini maana walikuwa wanasaka goli ila hawakulipata.
Wangeshinda Algeria, wala ingekuwa ajabu, si ndiyo kawaida ya kichwa cha mwendawazimu?
 
Back
Top Bottom