Taifa Stars mmejua kutudhalilisha sisi Wachambuzi

Kuna ka msemo, uje na mafuta na asali nina kazi navyo🤣🤣🤣
Naona huo msemo utakuwa wa Vijana, Mimi nimeshazeeka Mkuu.

Nimebaki kucheza na Wajukuu zangu tu baada ya kutoka shambani 🤗
 
Algeria wenyewe hawakuwa, siriasi
 
Watanzania hamuifahamu historia ya Tanzania na Algeria.

Kilichofanyika jana ni diplomasia ya hali ya juu.

Ahsante sana mama Samia.
 
Na kweli.
 
Uongo huu sio wa kawaida, wangefunga ungeandika nini maana walikuwa wanasaka goli ila hawakulipata.

Wangeshinda Algeria, wala ingekuwa ajabu, si ndiyo kawaida ya kichwa cha mwendawazimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…