Mwl Philemon
Member
- Nov 29, 2018
- 63
- 70
Nimeamini kweli kenya ni ndugu zetu wa damu kabisa wale tulipo wapo.
Kenya kapigwa 3 kama tzNaombeni matokeo jamani
Ya TBCHili kundi haliwezi kutoa best loose. Wote wanarudi kuja kuwaangalia wenzao kwa televisheni.
Congo mbona amepita kama best loser alimtandika zimbabwe goli 4-0Congo yeye anabaki kule anafanya nini?Si kashatoka?
ππππNimeamini kweli kenya ni ndugu zetu wa damu kabisa wale tulipo wapo.
Congo kapita..kenya anasikilizia game za leoCongo yeye anabaki kule anafanya nini?Si kashatoka?