Taifa stars na Harambee stars kupanda ndege moja.

Taifa stars na Harambee stars kupanda ndege moja.

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
63
Reaction score
70
Hili kundi haliwezi kutoa best loose. Wote wanarudi kuja kuwaangalia wenzao kwa televisheni.
 
Congo yeye anabaki kule anafanya nini?Si kashatoka?
 
Write your reply...
sasa wamepaki bus mwanzo mwenga unategemea nini?
 
Kenya anasikilizia mechi za leo,still anaweza pita
 
Dream liner haiwafuati .... maana wana mtoto wa mfalme kule..
 
Back
Top Bottom