D Deogratius n JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,193 Reaction score 254 May 25, 2015 #1 Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote.
Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote.
M mansoorsaid JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 1,498 Reaction score 286 May 25, 2015 #2 mm nilisema siku za nyuma hawa wachezaji wa taifa stars wangechapwa viboko
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 25, 2015 #3 Deogratius n said: Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote. Click to expand... tanzania tuombe tu kuwe na mashindano ya kufanya ngono ya dunia na hapo nadhani kila mwaka tutabeba kombe na siyo mengineyo...tumelaaniwa
Deogratius n said: Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote. Click to expand... tanzania tuombe tu kuwe na mashindano ya kufanya ngono ya dunia na hapo nadhani kila mwaka tutabeba kombe na siyo mengineyo...tumelaaniwa
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 25, 2015 #4 Mechi tatu tumeambulia patupu, hata sare ya dawa? Kweli tumekuwa kichwa cha mwendawazimu!