taifa stars na kipigo cha mechi 3 ni aibu kubwa

taifa stars na kipigo cha mechi 3 ni aibu kubwa

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote.
 
mm nilisema siku za nyuma hawa wachezaji wa taifa stars wangechapwa viboko
 
Tujichunguze wapi tumekosea kabla aibu kubwa haijatokea kuanzia mwezi wa6. Tusipokuwa makini Kundi tulilopangiwa tutagawa point zote.

tanzania tuombe tu kuwe na mashindano ya kufanya ngono ya dunia na hapo nadhani kila mwaka tutabeba kombe na siyo mengineyo...tumelaaniwa
 
Mechi tatu tumeambulia patupu, hata sare ya dawa? Kweli tumekuwa kichwa cha mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom