Taifa stars na misri

Wakat wanapohitajika wanakuwa c msaada sasa wa nn kuwa nao? Sina uhakika wanafanya makusud, au ni teknical proplem, ila kiukwel wamevuluga sana ratiba,

Hakuna mwenye link hum wadao?
 
Azam App not responding... Hii app imeshaanza kuzingua hata kabla mashindano ya Afcon hayajaanza...pambav kabisa
 
jamaa wanacheza wao tu, sisi tunangoja counter attack
 
Naona sisi tumepaki basi ,hata pasi tatu hazifiki tunazo cheza
 
Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu
Hii defensive style ina faida na hasara zake, inabidi muwe na mapafu kweli kweli....jamaa wanakuja tu 😂 😂 🤣
 
Hawa stars kama mpira wanacheza ndio huu basi kuna tatizo sehemu
 
Timu haina risk takers alafu wamemtema dogo Mbappe. Huko Afcon tutakula goli za kutosha.
 
Hamna kitu hapa , tusitegemee chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…