Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma
Nina zaidi ya 4 months tangu nimeifuta kwanguKwangu haifungui, kabisa inaandika tu stop, inakata
Link please
Kwa nature ya kaz yangu wananifaa ila leo wamenikera sana, nmefuta app yao kabisa
Hao kwishneyyy...Habari yao ilishakwisha!Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma
jamaa wanacheza wao tu, sisi tunangoja counter attack
Azam sport HD wako live. Na afcon wanaonyesha UTV iko Azam TV piawadau hii game inaonyeshwa channel gani!
Hii defensive style ina faida na hasara zake, inabidi muwe na mapafu kweli kweli....jamaa wanakuja tu 😂 😂 🤣Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu
Jiandae kisaikolojiaNgapi huko.?????