Taifa stars na misri

Taifa stars na misri

Dah! Hii stars hii.....!!
Usisikitike sana mkuu, chukulia kama Simba na Al ahly, walivyo kuja taifa walikaa. Misri alikua na faida ya home ground. Afcon wengine wote tutakua ugenini tofauti na Misri.
 
chanaga, post: 31824721, member: 122258"]
Ila kocha wetu ni shida.
[/QUOTE]
Lakini kawafikisha Afcon na mlikuwa mnamnanga hivihivi.
 
Usisikitike sana mkuu, chukulia kama Simba na Al ahly, walivyo kuja taifa walikaa. Misri alikua na faida ya home ground. Afcon wengine wote tutakua ugenini tofauti na Misri.
Waeleze hao maana kazi yao kukosoa bila kufikirisha vichwa vyao. Misri na kati ya timu zenye mpira mkubwa sana.
 
Kocha afanyie kazi swala la upigaji pasi timu ata kupiga pasi tano tu ni tatizo..katikati tulimezwa himid inaonyesh ayuko fiti, dakika kumi za mwisho kidogo kulikuwa na ahuen big up mohamed hussen na manula...
 
Kelele za kuhamasisha bure kabisa, hii nchi ina mipango ya kipwagu haijui watanzania wanaraka nn
 
Azam app ovyo sana. Nadhani watu wakiwa wengi inajam.
Azam wajinga sana ni mara nyingi tu kukiwa na game wana kick out watu katika App yao sasa hujui nini madhumuni yao ya kuweka App, yaani mechi ya kirafiki tu ya Tz ndio mbwembwe zote hizo sasa wakipata EPL si watazima kabisa App.
 
chanaga, post: 31824721, member: 122258"]
Ila kocha wetu ni shida.
Lakini kawafikisha Afcon na mlikuwa mnamnanga hivihivi.[/QUOTE]Unaweza ukafafanua ni kwa vip star imefika afcon, tumia akili yko kunyumbua alafu urudi tena kuja kuitathmin kauli yko
 
Kocha afanyie kazi swala la upigaji pasi timu ata kupiga pasi tano tu ni tatizo..katikati tulimezwa himid inaonyesh ayuko fiti, dakika kumi za mwisho kidogo kulikuwa na ahuen big up mohamed hussen na manula...
Sasa kama wachezaji ngazi ya taifa hawawezi kupiga pasi hill sio tatizo la kocha,
 
Back
Top Bottom