Hivi huu uzi mpya wa Taifa Stars unatengenezwa na kampuni gani? Tumezoea kuona logo za Nike, Adidas, Puma, Uhlsport, Kappa, Umbro au Joma.
Sasa hii ya kwetu mbona haina logo yeyote, au kiutaratibu jezi za Taifa zinatengenezwa kimfumo gani, kwa zabuni au binafsi?