Taifa Stars na uzi mpya

Taifa Stars na uzi mpya

0021

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
160
Reaction score
60
Hivi huu uzi mpya wa Taifa Stars unatengenezwa na kampuni gani? Tumezoea kuona logo za Nike, Adidas, Puma, Uhlsport, Kappa, Umbro au Joma.

Sasa hii ya kwetu mbona haina logo yeyote, au kiutaratibu jezi za Taifa zinatengenezwa kimfumo gani, kwa zabuni au binafsi?
 
Hazina rangi zinazoonyesha utaifa aka bendera ya taifa,
 
Back
Top Bottom