Taifa Stars ;- Nia na Uzalendo wa wachezaji

The Farmer

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,658
Reaction score
559
Kutokana na matokeo ya jana ya mechi kati ya Taifa stars na Zambia. naomba kuuliza yafuato;
1. Je bao la kusawazisha la Zambia ambalo walilipata katika dakika za nyongeza lilisababishwa na uzembe wa wachezaji wetu?

2. Je wachezaji wetu wa Tanzania ni wazalendo na wanajua kuwa huwa wana liwakilisha Taifa letu kwenye michuano ya kimataifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…