Taifa stars squad na uongo wa umri

Taifa stars squad na uongo wa umri

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,071
Reaction score
1,303
1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35

VIJEBA STARS

Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
 
1.Mbwana samata - 26
2. Simon msuva - 25
3. Ulimwengu -26
4. Ibrahim ajib -22
5. Jogn bocco -29
6. Farid mussa - 22
7. Himid mao -26
8. Mdathir yahya - 24
9. Gadeiel michael -22

Wapi Erasto Nyoni
 
Hii squad hata Kocha Amunike huenda ukakuta ana 37

Kuna siku niliona DOB za yanga eti Boban kazaliwa 1987,ajibu 1996 nikacheka sana Aiseee
 
Back
Top Bottom