Taifa stars the best line up of all times?

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Wakuu nani anaweza kutupatia the best line up of all times ya Stars stars......
 
Hiyo lazima itakuwa ile ya 1980. Hapo nilikuwa dogo sana. Ila Kibadeni na Mkwasa na Jella Mtagwa hawatakosekana hapo
 
Kibadeni alikuwa anapiga namba ngapi? jella mtagwa alikuwa kitasa namba 5 an mkwasa je?....we can make a format hapa kidogo airifu
 
Hii kikosi it might be the greatest of all time wakuu?
 
Back
Top Bottom