Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo lazima itakuwa ile ya 1980. Hapo nilikuwa dogo sana. Ila Kibadeni na Mkwasa na Jella Mtagwa hawatakosekana hapoWakuu nani anaweza kutupatia the best line up of all times ya Stars stars......
Kibadeni alikuwa anapiga namba ngapi? jella mtagwa alikuwa kitasa namba 5 an mkwasa je?....we can make a format hapa kidogo airifuHiyo lazima itakuwa ile ya 1980. Hapo nilikuwa dogo sana. Ila Kibadeni na Mkwasa na Jella Mtagwa hawatakosekana hapo