Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Nimetazama viwango vya nchi jirani katika mechi zao za kufuzu world cup kanda ya Afrika.
Rwanda wanapiga sana ball. Hawa miaka michache ijayo wanaenda kutuacha kama tusipo badilika.
Kenya, a new generation unaona kabsa kama nchi wapo serious sana na soka. Changamoto waliozopita zimewapa funzo kubwa.
Uganda, hawa wameshajipata kwa ukanda wetu. Wanatoa ushindani mkubwa sana katika mechi zao.
Matokeo ya jumla yanakupa picha halisi. Najaribu niweke msimamo kwa hizi nchi za ukanda wetu kisha tuone wenyewe.
Tuache siasa katika michezo. Siasa itumike kuhakikisha sera za michezo zinaleta mabadiliko chanya. Sio kutumia michezo kupata faida za kisiasa.