Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Mbona Zambia leo kafungwa na Niger, na wazambia nao waache siasa au?...Tuache siasa katika michezo. Siasa itumike kuhakikisha sera za michezo zinaleta mabadiliko chanya. Sio kutumia michezo kupata faida za kisiasa.
East Africa ndio hizo nchi 4 tu?Nimetazama viwango vya nchi jirani katika mechi zao za kufuzu world cup kanda ya Afrika.
Rwanda wanapiga sana ball. Hawa miaka michache ijayo wanaenda kutuacha kama tusipo badilika.
Kenya, a new generation unaona kabsa kama nchi wapo serious sana na soka. Changamoto waliozopita zimewapa funzo kubwa.
Uganda, hawa wameshajipata kwa ukanda wetu. Wanatoa ushindani mkubwa sana katika mechi zao.
Matokeo ya jumla yanakupa picha halisi. Najaribu niweke msimamo kwa hizi nchi za ukanda wetu kisha tuone wenyewe.
Tuache siasa katika michezo. Siasa itumike kuhakikisha sera za michezo zinaleta mabadiliko chanya. Sio kutumia michezo kupata faida za kisiasa.
Ongeza hata na hizo unazitakaEast Africa ndio hizo nchi 4 tu?
Zambia ipo wapi? Sisi tupo sawa na Burundi nchi isiyojielewa kabisa. Inaviwanja 2 tu vya mpira. Rwanda kanchi ka juzi tu kametushinda alama walizokusanya.
Usiwe msukule tafadhali😂Zambia ipo wapi? Sisi tupo sawa na Burundi nchi isiyojielewa kabisa. Inaviwanja 2 tu vya mpira. Rwanda kanchi ka juzi tu kametushinda alama walizokusanya.
Hawa magabachori na wanasiasa wa CCM wasipoondolewa kwenye hizo timu na kuacha ziendeshwe kitaalam mashabiki mtaendelea kuuma vidole tu. Wako kwenye timu kwa faida zao na wala hawajali kuendeleza mpira.Nimetazama viwango vya nchi jirani katika mechi zao za kufuzu world cup kanda ya Afrika.