kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Umekosa Sehemu Za Kutafutia Raha Mkuu? Hapo Utaambulia MajutoHabarii za wakati huu!!!!!
Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya Lesotho..... Tunahamini mmejianda vizuri kwa mechi Hiyoo kutokana na maandalizi YA week chache mliofanya tunaomba msituangushe na Sisi tupo nyumaa yenu kuwapa support kubwa.......
Mechi Hiyoo itapigwa majira YA saa 2:00 Usiku.... Mashabiki tunaomba tujitokezee kuishangilia timu yetu
TAIFA STARS AFCON 2019 INAWEZEKANA.......
Hii Mkuu itafanya vizuri Leo.mmhhh stars ipi au hiihii ya malinzi?
Majuto Hakuna kabsaaa Leo.. TutashndaaUmekosa Sehemu Za Kutafutia Raha Mkuu? Hapo Utaambulia Majuto
Mkuu tusikate tamaa timu inafanya vizuri hiiKwakweli Ni Bora Ukatafute Raha Sehemu Nyingine Sio Kwenye Hili
ashinde asishinde afcon haendi,Hii Mkuu itafanya vizuri Leo.
Mbona unakosa uzalendoashinde asishinde afcon haendi,
afu hatutaki kusema tumefungwa kiume
kama wenye timu hawana uzalendo sisi uzalendo tunatoa wapiMbona unakosa uzalendo
Hakuna mwenye timu pale Sisi ndiyo wenye timukama wenye timu hawana uzalendo sisi uzalendo tunatoa wapi
tupe mrejesho mkuuHabarii za wakati huu!!!!!
Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya Lesotho..... Tunahamini mmejianda vizuri kwa mechi Hiyoo kutokana na maandalizi YA week chache mliofanya tunaomba msituangushe na Sisi tupo nyumaa yenu kuwapa support kubwa.......
Mechi Hiyoo itapigwa majira YA saa 2:00 Usiku.... Mashabiki tunaomba tujitokezee kuishangilia timu yetu
TAIFA STARS AFCON 2019 INAWEZEKANA.......
Kapata raha tayartupe mrejesho mkuu