Taifa Stars Vs Algeria na mfano wa uwepo wa Mungu

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Nimekuta MTU kapost kwenye wazo LA Leo kitaaa.... Unasema

"Ni bora kuamini Mungu yupo usimkute kuliko kuamini hayupo ukamkuta".... Ni kijiwe cha michezo sana draft ..karata..bao... Na kuna kibanda umiza ...sasa wakati tunaangalia game ya Swaziland na Nigeria ndio nkaujua ule msemo baada ya mechi kuisha.... Kwamba Tanzania tuamini tutafungwa ili hata kama tusipofungwa Hamna tulichopoteza..... Ila tukiamini tutawafunga tukifungwa ndio kuamini mungu hayupo afu ukamkuta.... Waswahili wana maneno sana...
 
kesho ushindi lazima!
BORA UENDE VITANI NA SIRAHA KUBWA UKUTE ADUI ANASIRAHA NDOGO.
TNZ 3-0 ALG
full time
 
Cc: Nzi
Nimemuona mwanao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…