Kwa DSTV SS10 zen Azam ZBC2 saaa 20:00Wakuu mechi kati ya Taifa Stars na Cape Verde itachezwa saa ngapi kwa saa zetu? Tv station gani itaonyesha?
Asante.
Saa mbili Tbc.Wakuu mechi kati ya Taifa Stars na Cape Verde itachezwa saa ngapi kwa saa zetu? Tv station gani itaonyesha?
Asante.
Star times hamna? Hovyo kabisaKwa DSTV SS10 zen Azam ZBC2 saaa 20:00
Mmh wataonyesha wamesema?Saa mbili Tbc.
Walisema jana wakati wa habari za michezo saa mbili ila hawatabiriki.Mmh wataonyesha wamesema?
Bora waonyeshe maana startimes waspo onyesha tbc basi tenaWalisema jana ila hawatabiriki.
Startimes hapanaaa hawarushiii hawa jamaaa cjuii wakojeeStar times hamna? Hovyo kabisa
Hiki king'amuzi kimekua cha hovyo mnooo siku hizi kwanza wameniuzi kile kifurush kilichokua ef18 wamepndsha paka ef21 ukiwapigia wanakuja kirahisi tu eti kinepanda yaaani hovyo kabisa nipo mbion kuwahamaaStartimes hapanaaa hawarushiii hawa jamaaa cjuii wakojee
TBC wamesema watatangaza tu kuptia redio (tbc taifa)Bora waonyeshe maana startimes waspo onyesha tbc basi tena
Duuu startimes mzgo ni kuihama tuuuTBC wamesema watatangaza tu kuptia redio (tbc taifa)
Watu wengine sijui mkojewalianza kusingizia uwanja wa ndege wakifungwa wasijesingizia uwanja wa mpira😎
Kwanini???Watu wengine sijui mkoje
Yani upo against tuKwanini???
maoni yangu bhana sio lazima uyakubali coz sio katibaYani upo against tu
uhamie wapi?....Duuu startimes mzgo ni kuihama tuuu
Hapa saaasa sjui azam au dstvuhamie wapi?....