Taifa Stars vs Cape Verde saa ngapi?

Taifa Stars vs Cape Verde saa ngapi?

Startimes hapanaaa hawarushiii hawa jamaaa cjuii wakojee
Hiki king'amuzi kimekua cha hovyo mnooo siku hizi kwanza wameniuzi kile kifurush kilichokua ef18 wamepndsha paka ef21 ukiwapigia wanakuja kirahisi tu eti kinepanda yaaani hovyo kabisa nipo mbion kuwahamaa
 
Back
Top Bottom