Taifa Stars vs Cape Verde saa ngapi?

Taifa Stars vs Cape Verde saa ngapi?

Hapa saaasa sjui azam au dstv
Kama una ela bora uchukue dstv tu. Maana wa Azam tv nako kuna kilio cha kutokuwepo kwa local channels zaidi ya TBC na pia hakuna tena taarifa ya habari kwenye channel za azam.
 
Haaa kumbe hamna taarifa ya hbr kwann?
 
Back
Top Bottom