ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Watu hawana mzuka na tim ya Taifa kabisa mie mwenyewe hata sikua najua kama Stars wanacheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikwasababu ni maji kupwa maji kukaa,haieleweki......ukiwa na mzuka nayo haifanyi vizuriWatu hawana mzuka na tim ya Taifa kabisa mie mwenyewe hata sikua najua kama Stars wanacheza
Yeah,anaonyesha uhai,japo hii timu nayo ni vibonde sanaFeisal ni mchezaji wa kiwango cha juu leo
Unahis dg kabahatisha? basi haumjui vizur NovDAaah tunacheza na vibonde sana,kipa wa Africa ya kati amefungwa goli la kijinga sana
Kipa bora huwezi kumfunga kijinga vileUnahis dg kabahatisha? basi haumjui vizur NovD
Wala hajafungwa kijinga, kipa alikuwa keshalala kuucheza ule mpira lakini ukadunda sehemu ukahamaAaah tunacheza na vibonde sana,kipa wa Africa ya kati amefungwa goli la kijinga sana
Kwa kipa makini humfungi kijinga vile,golikipa hana timingWala hajafungwa kijinga, kipa alikuwa keshalala kuucheza ule mpira lakini ukadunda sehemu ukahama
Alitakiwa afanyaje pale mkuuKwa kipa makini humfungi kijinga vile,golikipa hana timing
🤣🤣🤣Mbwa mkali kwaoStars imekuwa kama wale wa Masumbwi wanaoleta vibonde ili kujenga jina
Hamna mchezaji humo,hawa mashombe wameitwa kocha kuondoa lawama muwaone wenyewe baaadae msianze sijui Kuna wachezaji ulaya.wengi weupe tuUyu shombe shombe sumuelewi analukaluka tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuepusha lawama za wachambuzi 🤣🤣Hamna mchezaji humo,hawa mashombe wameitwa kocha kuondoa lawama muwaone wenyewe baaadae msianze sijui Kuna wachezaji ulaya.wengi weupe tu
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Aibu sana