Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

Tanzania huenda ikawa ni nchi ya kwanza afrika kwa kuwa na squad inayoundwa na wachezaji toka ligi ya ndani kwa % kubwa..akina Nyoni wetu hawa tunawahukumu kwa kuwalazimisha wawafunge DRC au Algeria zenye lineups zote kutoka ulaya..hivi sisi watz tuna akili kweli?

Wewe fikiria watu kama Mayele, Djuma, Bwalya si tu hawana namba, bali hawafikiri hata kuitwa kikosini pale DRC..tusisusie kushangilia nyota wetu, maana hatuna nyota kwngne..
 
Hapa kweli Safari ipo tena ngumu Sana,tatizo hatutaki kuvipa vitu muda kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…