Mi nafikiri Kimpira Jerman Ladies wazuri kuliko, wapo more technical na wazuri kwa ball possesion kuliko Stars, so wanaweza kuwapenetrate na kuwafunga mabao Stars, ila ki nguvu obviously kwavile Wanawume , wananguvu zaidi so as as the match goes on watakuwa more powerful than the Ladies on 1 on 1 situations and wanaweza kufunga mabao so.....Ngoma Draw!!!:biggrin1: