Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,514
Reaction score
4,042
Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
 
Tuwaone kwanza kwenye michuano ya kimataifa bana,mimi pamoja na ushindi wa jana lakini bado sina imani na timu yenu ya taifa.
 
Mgonjwa wa homa ya vipindi ......hakawii kuchemka tena
 
Huwa sina wasiwasi na kim polsen na hasa kwny kuwaamini damu Changa.
Toka kuanzishwa kwake sidhani kama taifa stars iliwahi bora kama kipindi cha kim.

Huwa naikumbuka sana mechi yetu na ivory coast mwezi kama huu 2013.Kim akiwa kama head coach.
tulifungwa 2-4 kuwania kufuzu kombe LA dunia 2014,

Kinachonifanya niikumbuke mechi ile ni namna vijana wetu walivyopambana na majina maarufu ya ivorycoast kwa nyakati zile.
Vikosi:
Tanzania;
kaseja (simba) nyoni (azam) kapombe (azam) yondan (simba) haroub (yanga) kazimoto (jkt pwani)sureboy (azam) kiemba (simba) samatta na ulimwengu (mazembe) dumayo ( jkt pwani)

Benchi: ngassa (azam) chuji (yanga) bathez (simba) msuva (yanga) zahoro pazi (sikumbuki) Vincent Barnabas (mtibwa) na mudathiri (sikumbuki) mcha (azam)

Ivorycoast;

Kipa; Barry (Lokeren,Belgium)

Beki: Serey Die, ( Basel,Swiss)
Arthur Boka, (Vfb Stuttgart, Germany)
Sol Bamba, (Trabzospor, Turkey) Serge Aurier, (Toulouse, France)

Viungo;
Didier Zokora, (Sevilla,Spain) Yaya Toure, (Manchester City, England)
Jean Gosso, )Genclerbirligi,Turkey)

Foward;
Traore, (Anzhi maklakacha, Russia) Solomon Kalou(Chelsea, England) na Gervinho (Arsenal, England)

Benchi:
Aruna kone (Levante,Spain)
Wilfred Bonny, Swansea, England)
Koffi Romaric (Zaragoza, Spain)

Marehemu tiote na drogba hawakuja kabisa na msafara

Mimi nje ya tanzania ni mshabiki mno wa ivorians na arsenali
Kim atatufikisha mbali.nimefurahi maingizo ya kina Israel mwenda, Edward MANYAMA, Dickson job na dogo Kibabage kwa upande WA Tanzania.
Vile vile nao ivory wana maingizo mapya kama Nicholas pepe, Eric Bailly na zaha
Mungu ibariki taiga stars.Mungu ibariki ivorycoast
 
**** mahali umetupiga
 
mazaga one nakumbuka hii mechi tulifungwa na Ivory ,goli alifunga drogba kwa kichwa halafu kiungo humudi alikuwa man of the match
 
Halafu pamoja na Drogba kufunga goli mbele ya Cannavaro, bado yeye Canavaro hadi leo anatamba kwamba alimdhibiti Drogba
 
Huwa sina wasiwasi na kim polsen na hasa kwny kuwaamini damu Changa.
Toka kuanzishwa kwake sidhani kama taifa stars iliwahi bora kama kipindi cha kim.

Huwa naikumbuka sana mechi yetu na ivory coast mwezi kama huu 2013.Kim akiwa kama head coach.
tulifungwa 2-4 kuwania kufuzu kombe LA dunia 2014,

Kinachonifanya niikumbuke mechi ile ni namna vijana wetu walivyopambana na majina maarufu ya ivorycoast kwa nyakati zile.
Vikosi:
Tanzania;
kaseja (simba) nyoni (azam) kapombe (azam) yondan (simba) haroub (yanga) kazimoto (jkt pwani)sureboy (azam) kiemba (simba) samatta na ulimwengu (mazembe) dumayo ( jkt pwani)

Benchi: ngassa (azam) chuji (yanga) bathez (simba) msuva (yanga) zahoro pazi (sikumbuki) Vincent Barnabas (mtibwa) na mudathiri (sikumbuki) mcha (azam)

Ivorycoast;

Kipa; Barry (Lokeren,Belgium)

Beki: Serey Die, ( Basel,Swiss)
Arthur Boka, (Vfb Stuttgart, Germany)
Sol Bamba, (Trabzospor, Turkey) Serge Aurier, (Toulouse, France)

Viungo;
Didier Zokora, (Sevilla,Spain) Yaya Toure, (Manchester City, England)
Jean Gosso, )Genclerbirligi,Turkey)

Foward;
Traore, (Anzhi maklakacha, Russia) Solomon Kalou(Chelsea, England) na Gervinho (Arsenal, England)

Benchi:
Aruna kone (Levante,Spain)
Wilfred Bonny, Swansea, England)
Koffi Romaric (Zaragoza, Spain)

Marehemu tiote na drogba hawakuja kabisa na msafara

Mimi nje ya tanzania ni mshabiki mno wa ivorians na arsenali
Kim atatufikisha mbali.nimefurahi maingizo ya kina Israel mwenda, Edward MANYAMA, Dickson job na dogo Kibabage kwa upande WA Tanzania.
Vile vile nao ivory wana maingizo mapya kama Nicholas pepe, Eric Bailly na zaha
Mungu ibariki taiga stars.Mungu ibariki ivorycoast
Kweli tumpe muda na Atafanya kuwe na ushindani wa namba
 
Back
Top Bottom