Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
hi dear brothers i am from Morocco
any one can give me a video or photos about the Moroccan and Tanzanian preparation for sunday game
thanks
Nice to hear from you, I neither have video nor photos. What I have is the results of the game, tell you compatriots that Taifa Stars are mad and will play jihad over Morocco. Do not expect your team to get even a single point. You will never get it. You will be beaten 2-0. Habari ndio hiyo!
Mapemaa nishakamata tikiti yangu hawa Waarabu kesho hawatokimechi sa ngapi?
Kila la kheri Stars kama tuliweza kuwazuiaAlgeria nyumbani kwao ambao ni wakali zaidi huenda tukafanikiwa kuwabandua hawa ndugu zao, umemsahau Adil taarabt huyu inafaa aangaliwe sana, jamaa ana talent na ni playmaker mzuri sana,jamaa kiwango na ndio amechangia sana QPR kuongoza ligi ya daraja la kwanza msimu huu.Wachezaji wa kuwaangalia kwa jicho la tatu hapo (iwapo watacheza ) ni el Hamdaoui na huyo winga el Zhar, Chamakh hatishi kama haletewi mipira yake ya kichwa, footwork hana hivyo mipira ya chini anakuwa wa kawaida tu. Yousef Hadj naye sio mbaya na mbio zake..maana ikumbukwe wamoroko wanakwenda mbio kama kishada kwa sababu mbio is also their pride sport.
Kazi itakuwepo, yule bwamdogo wa washika bunduki Shamakh yuko ndani ya nyumba!
Rais wangu mpendwa Mrisho Kikwete atakuwepo na ndio mgeni rasmi... JE ATASHANGILIWA AU KUZOMEWA?Wajameni nauliza swali?kama tulivyozoea na kikwete nae atakuwepo?
Namkumbuka huyu mdogo, nilimuona kwenye pre-seasons few years ago alipokuwa Bolton.Kila la kheri Stars kama tuliweza kuwazuiaAlgeria nyumbani kwao ambao ni wakali zaidi huenda tukafanikiwa kuwabandua hawa ndugu zao, umemsahau Adil taarabt huyu inafaa aangaliwe sana, jamaa ana talent na ni playmaker mzuri sana,jamaa kiwango na ndio amechangia sana QPR kuongoza ligi ya daraja la kwanza msimu huu.
Rais wangu mpendwa Mrisho Kikwete atakuwepo na ndio mgeni rasmi... JE ATASHANGILIWA AU KUZOMEWA?