Taifa Stars VS Rwanda (Amavubi)-KIRUMBA MWANZA

Taifa Stars VS Rwanda (Amavubi)-KIRUMBA MWANZA

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Channel gani inaonyesha mchezoo huu wakuu...!
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars Maboresho) inashuka kwenye dimba la CCM KIRUMBA Mwanza kuvaana na timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi) kuanzia saa 10:30 walopo Kirumba tusaidiane kuwajulisha wale ambao hawapo uwanjani hapa.

Matokeo ya Mwisho: Tanzania 1 - 1 Rwanda
 
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars Maboresho) inashuka kwenye dimba la CCM KIRUMBA Mwanza kuvaana na timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi) kuanzia saa 10:30 walopo Kirumba tusaidiane kuwajulisha wale ambao hawapo uwanjani hapa.
 
Hamna channel hata moja mpk sasa inayoonyesha
 
Azam wako hapa uwanjani so sijui ni ni chanel namba ngapi?!
 
Kifai Mkuu watu wanashughulika huko Afcon 2015: Equatorial Guinea !! starz na Rwa wanapimana...
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 9 Amavubi wanapata goli kupitia kwa Jean Baptista Mugireneza
 
Hii game wala haina mvuto kabisa, wachezaji wanajazana katikati ya uwanja, utadhani wanacheza akina dada bhana!!!!
 
...kwa mwendo huu, mpaka dk 90 tz 0 kagame 9...
 
Back
Top Bottom