Taifa stars vs south Africa ,vilaza wawili wa soka wanaminyana hapo baadae ,

Klabu bingwa Africa unaifahamu?
 
Kwa taarifa tu watakaopenda kushuhudia mechi hiyo online , Itazame kwenye Channel ya Online TV Entertainment, kwenye app ya Online TV kama bado hujaidownload bonyeza hapa http://bit.ly/2n5MhHo
 
Wewe ndo zaidi ya kilaza mkubwa,ndo umeandika utumbo gani,mijitu isiyo wazalendo siipendi kabisa
 
Wewe ndo zaidi ya kilaza mkubwa,ndo umeandika utumbo gani,mijitu isiyo wazalendo siipendi kabisa
Basi Taifa stars sio vilaza wanaujua mpira sana

Wameshiriki Afcon,worldcup Mara kadhaa ,ni timu tishio Afrika imefika mbali afcon ,nk nk

Hope umeridhika na kufurahi sasa
 
Ni kweli south Africa ni vilaza, tunafanana nao hadi sura, vifupiii
 
Kumbe utashangaa tukifungwa!?
 
Labda unaiongolea mamelodi sundowns ya mbagala na sio ya south africa..
 
Katika mashindano haya tumepitia kwenye makundi, South Africa wameingia robo fainali moja kwa moja. Hilo nalo linaleta tofauti kubwa tu. Hivyo, tukiwafunga SA tutakuwa tumeifunga moja ya timu bora Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…