Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 814
- 108
Masatu, nakupa 5 out 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dogo ana rasta jina sijalipata vizuri. Lakini tusha wamudu kama wenye bia zao wanywe tu wamanga kwishne!
Ahsante sana mkuu kwa hizi update zako. Sasa mpira uishe...LOL! maana zimebaki dakika chache lakini mpira ni dakika 90. Tuombe Mungu.
Huyu Athumani Idd mtambo mkubwa! anatakata kweli pale katikati ila yake nae YANGA aaah noma kweli
Huyu Athumani Idd mtambo mkubwa! anatakata kweli pale katikati ila yake nae YANGA aaah noma kweli
Huyu Athumani Idd mtambo mkubwa! anatakata kweli pale katikati ila yake nae YANGA aaah noma kweli
Huyu kijana katulia sana katikati, kati ya viungo mahiri tanzania chuji ni mmoja wapo, napenda jinsi anavyo jiamini.
Atafutiwe timu ulaya haraka jamani kabla hajalosti na soka la Bongo
Shida dogo anakula sana Jani....
Shida dogo anakula sana Jani....
Yanga oyeeeeeeeee...oooooosh am sory MAXIMO oyeeeeeeeeeee
Dakika ya 80 bado tunaongoza 2-1 anaingia Musa Hassan MGOSI anatoka Nurdin Bakari. Nurdin ndie aliefunga goli la 2