TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Dakika 88 bado Starz wanaongoza 2-1 na tunawashambulia kisawasawa vbijana wana confidence kubwa
 
Wabongo wanaimba kichizi jukwaani kuna wamasai siji wametoka wapi na lubega zao duuh noma kichizi
 
Tupo katika dakika za nyongeza bado tunaongaza 2-1
 
Wabongo wanaimba kichizi jukwaani kuna wamasai siji wametoka wapi na lubega zao duuh noma kichizi

Mambo ya uzalendoooooooooz...ushind mtamu jamani,hasa unapoqoalify kwa mashindano makubwa kama haya(CHAN)
 
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.

Bravo Maximo! Bravo Stars
 
Dakika 88 bado Starz wanaongoza 2-1 na tunawashambulia kisawasawa vbijana wana confidence kubwa

Ningekuwa na nanihii ya tatu ningebinya. Naona mambo yataisha kwa 2 -1. Ngoja nijaribu kubinya paipu pengine italeta tofauti.
 
Great! Thanks Masatu kwa coverage. It was fantastic.
 
Hongera taifa stars, hongera watz wote, asante mkuu masatu.
 
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.

Bravo Maximo! Bravo Stars

Ahsante sna mkuu masatu kwa live coverage.

Sasa nakukaribisha mvinyo tuendelee, karibu sana, Mi ndo naenda kuanza kula vitu rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…