Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Hata kwa kuangalia kunako Luninga inaruhusiwa mradi uwe unauangalia mchezo....lol
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana...enjoy your week end!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa kuangalia kunako Luninga inaruhusiwa mradi uwe unauangalia mchezo....lol
Hahaha YANGA timu funga hao sudani warudi kwao wakachimbe mafuta!
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana...enjoy your week end!!
LOL! Simba funga Yanga warudi jangwani wakatengeneze Kiwanja na kupaka rangi jengo lao 🙂. Hii inatia moyo kweli maana tunarudi tena kwenye kinyang'anyiro cha kombe la mataifa huru ya Afrika. Itakuwa poa sana kama Serikali itaamua kuwapeleka vijana Brazil wakajichimbie kwa mwezi mmoja tayari kwa mashindano hayo. Hongera sana Taifa Stars
Hongera sana sana Kondic na Young African. mumefuta aibu ya Tanzania.....
n naona humu mwishoni nw tumeanza kurudi kwenye usimba na u yanga...jamani hii si ilikua ni timu ya taifa ama??even if kulikua na mchezaji mmoja tu kutoka mbagala fc alishirikia kuimake timu hiyo n wote kwa ujumla wameshiriki kushinda!
tusiende huko tunakotaka kwenda twapotoshana wandugu!
Hatupotoshani bwana mtaalamu. Ukweli ni kwamba magoli kama siyo yote, basi matano yamefungwa na wachezaji wa Yanga. Nini cha kupotisha hapa? Lazima ukubali facts kuweza kufanya maendeleo.
Walau wiki hii tuwe na mengine ya kuongea au ya kujivunia maana kila kukicha sie na bad news tuu.... sijui Mengi, Masha. Mboma, Mramba, Yona et al
Huwa unaboa nayo aaghhh!!!!!!!!!!
TUNAPOTOSHANA.....Yanga kama Yanga wameshindwa kufanya kile kilichofanyika leo(mimi ni mnazi hasa wa Yanga)..hata kama timu inaundwa na wachezaji wengi wa Yanga ikumbukwe kuwa pale ilienda kama Taifa Stars na maombi ya waTanzania wote(wakiwemo wanaMsimbazi) yalielekezwa kwao..tubadilike waTanzania jamani maana mojawapo ya sababu kubwa zilizopelekea kudumaa kwa soka letu ni pamoja na mambo haya ya unazi wa Simba na Yanga..tuachane na mambo ya unazi tuweke UTAIFA mbele..Bravo Taifa Stars,bravo Masatu..ALUTA CONTINUA
Ila na wewe Msatu tulia. usije kurupuka kwenda kwa jamaa zako kule North Mara na kuvamia migodi bila sababu. Tulia hapo uwe unatupa udates
Hatupotoshani bwana mtaalamu. Ukweli ni kwamba magoli kama siyo yote, basi matano yamefungwa na wachezaji wa Yanga. Nini cha kupotisha hapa? Lazima ukubali facts kuweza kufanya maendeleo.
We Balantanda, nadhani hunielewi. Ni kweli kabisa maneno yako na ni kweli Stars imeshinda na tunafurahia sana. Ila unasahau point muhimu kwenye maelezo yako. Kuwa wachezaji wa Yanga ndiyo waliofunga. Hii ina maana kubwa sana. Huwezi kuwa na wafungaji ambao hawana mafunzo mazuri huko kwako. Kondic amewafunza vema. Na team yoyote ile, ushindi huwa ni magoli na si chenga wala kuunganisha pass. Ukiwa Ulaya hata ukiunganisha pass elfu moja, kama hujafunga wewe huna thamani kabisa na unaweza kuuzwa kwa mkopo kwa team yoyote, tofauti na wengine wanaouzwa kwa cash.
Sasa wewe hapa huelewi nini?
TUNAPOTOSHANA.....Yanga kama Yanga wameshindwa kufanya kile kilichofanyika leo(mimi ni mnazi hasa wa Yanga)..hata kama timu inaundwa na wachezaji wengi wa Yanga ikumbukwe kuwa pale ilienda kama Taifa Stars na maombi ya waTanzania wote(wakiwemo wanaMsimbazi) yalielekezwa kwao..tubadilike waTanzania jamani maana mojawapo ya sababu kubwa zilizopelekea kudumaa kwa soka letu ni pamoja na mambo haya ya unazi wa Simba na Yanga..tuachane na mambo ya unazi tuweke UTAIFA mbele..Bravo Taifa Stars,bravo Masatu..ALUTA CONTINUA
na je hao waliofunga kama ni yangu tupu ina maana hawakushambuliwa?na je kama walishambuliwa je ni magoli mangapi huyo kipa asie wa yanga tungefungwa tuki assume hakwepo?goli na man of de match si tumeambiwa limefungwa na captain wa simba?hizo kelele zingine za ooh yamefungwa na yanga zimetoka wapi?