Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Dreamliner, hivi hawa viongozi wasiwe wakweli tu, kila mara kutuhadaa tu.
 
Shekhe Yahaya umefufuka?
 
ingawaje timu yetu ni mbovu lakini carpeverde ni mbovu zaidi kwa sasa kwahiyo dua lako sioni likifanikiwa
 
Hivi wameondoka na ndege ya Fastjet nini?Tulitajiwa Embraer 190 hatukuambiwa imekodiwa kutoka Kampuni gani.Cape Verde 0-Tanzania 2
Hawawezi kufungwa. Si kwa sababu Taifa stars ni wazuri bali hao wapinzani wetu ni wabovu zaidi ya sisi.
 
Makubwa!!! wewe si unaishi miaka yote Buguruni kwa Kimbengele umepanga chumba Kimoja kwa Mzee Masupu yule anayeuza supu za utumbo wa kuku kila siku jioni pale karibu na mkwaju?.Huko Cape verde ulienda lini?
 
verde ni takataka kimpira wanaweza stars wakapita ingawa na strs ni takataka!
 
Terminal


Inside the terminal at Sal Airport.

Amílcar Cabral has one terminal. It is a two-story building containing check-in, waiting, and arrival areas, as well as shopping, banking, and passenger services. The second floor houses airport operations and airline offices. There are four gates, and buses (Cobus 3000s) are used to transport passengers to the aircraft stands.

Cabo Verde Express has its head office in the Concourse Hall. The duty-free shop is located after passport control but before security scanning, which only takes place as you enter the boarding lounge, which is shared for all four departure gates.

Runways
The airport's main runway is 3,272 m (10,734 ft) long and is the longest in Cape Verde. It is used for long-haul flights. It was also one of the designated emergency landing strips for the U.S. Space Shuttle. The second runway is 1,500 m (4,921 ft) long and was used by small planes. It is now closed for traffic.

JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT



1.Main Runways is 3,000 m, 9,843 ft.
2.Second Runways is 1,000m, 3,281ft
 
October 10, 2018
Dar es Salaam JNIA, Tanzania
Taifa stars walivyoondoka kibabe usiku

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars imeondoka leo saa tisa alfajiri kuelekea nchini Cape Verde kwenye mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa africa zitakazopigwa mwakani nchini Cameroon. Na maneno ya mwisho ya Mh. Harrison Mwakyembe waziri wa mchezo na utamaduni Tanzania
Source :Global TV online
 
[/QUOTE]Mimi sikubaliani na sababu kuu ya Dk. Mwakyembe kuwa uwanja wao ni mdogo kwa dreamliner kutua. Naamini ameitumia sababu hiyo kwa ghiliba, sababu halisivni hasara ya kuipeleka dreamliner ikiwa na abiria ambao kwa idadi yao, bombardier inawatosha kabisa.

Vv
 
All in all, wafu wanazidiana kunuka!
Lakini uliposema ni takataka hukuwa na data. Nikikuletea data za match za kimataifa ambazo Cape Verde wamecheza na nchi zenye heshima kimpira, nadhani utarekebisha mtazamo wako juu ya hii nchi kimpira. Ni ndogo kwa eneo lakini tuwaheshimu kimpira. Tuiombee Taifa stars ishinde kwa sababu mpira unadunda lakini siyo kuwadharau hawa Cape Verde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…