Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Tuliwaambia hiyo issue haiwezekani wakabisha mambo ya mpira wakataka walete siasa!....shame on them!
 
Tuwape dreamliner ya nn wameenda kutuaibisha tu huko cape Verde bora walau tumeokoa mafuta yetu ambayo yangeungua bure tu
 
Hawa wachezaji wanadanga na wao. Mbwa kweli, hayana hata utaifa kazi kunenepa tu makalio.
 
Asante teknolojia.
Kwa sasa ni vigumu kudanganya, Ukimtazama Mwakyembe ukamtazama Mwijage, ukamtazama Lugola unagundua ni watu ambao kwa asilimia kubwa hawako serious.

Waziri ambaye mpaka leo anajua nini anafanya ni Lukuvi peke yake labda kama kuna mwingine wadau mtanijulisha.
 
Natoka nje ya Mada na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.

Asante teknolojia.
Kwa sasa ni vigumu kudanganya, Ukimtazama Mwakyembe ukamtazama Mwijage, ukamtazama Lugola unagundua ni watu ambao kwa asilimia kubwa hawako serious.

Waziri ambaye mpaka leo anajua nini anafanya ni Lukuvi peke yake labda kama kuna mwingine wadau mtanijulisha.
 
October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani.

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa.

Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo.

Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.

Habari & Video kwa hisani kubwa ya:
Source: Global TV Online

waje watufunge mengi zaidi nyumbani. mungu ibarik c Verde ifunge taifa stars
 
October 14, 2018
Dar es Salaam,Tanzania

Watanzania watwishwa 'Jukumu Maalum':

Taifa stars, uwanja wa ndege wa JNIA Dsm baada ya kurejea toka Cape Verde ikiuguza kichapo cha 3 -0, viongozi wa timu ya Taifa Stars yawapa 'majukumu muhimu / maalum ' mashabiki na watanzania kwa ujumla ili timu yao iibuke na ushindi ktk mechi ya marudiano hapa nyumbani siku ya Jumanne tarehe 16 Oktoba 2018

Source : Azam TV.
Safari ya kwenda Cape Verde ilichukua masaa 10 wakiwa angani kwa kutumia ndege ya kukodi aina ya Embraer e-190 ya kampuni ya Fastjet. Safari ya kurejea nyumbani pia ilitumia masaa 10, hivyo kuonesha umbali mkubwa wa safari yao kuwania kushiriki ktk fainali za AFCON ikiwa Tanzania itafuzu ktk kundi lake la L.
 
Back
Top Bottom