Taifa Stars wako uwanjani, tuwaombee

Taifa Stars wako uwanjani, tuwaombee

Kwanza ieleweke kwamba muda wa kambini inawezekana kabisa ukawa hautoshi kuwaunganisha pamoja wachezaji, kwani kila mchezaji ana mfumo aliouzoea na timu yake, hivyo kuzoea mfumo unaotumiwa na timu ya Taifa inaweza ikachukua muda na wakajikuta wanaingia uwanjani pasipokuwa na muunganiko mzuri kiufundi
Sidhani kama uko sahihi kwani nchi zingine zinapewa mda tofauti (mrefu) tofauti na kichwa cha mwendawazimu maana zinafanya vizuri
 
Yanga kwa beki zile zinazo kaba kwa macho yanga akishinda hata mechi moja kimataifa mje mnipeleke central niko hapa mwembe chai.
 
Kwanza ieleweke kwamba muda wa kambini inawezekana kabisa ukawa hautoshi kuwaunganisha pamoja wachezaji, kwani kila mchezaji ana mfumo aliouzoea na timu yake, hivyo kuzoea mfumo unaotumiwa na timu ya Taifa inaweza ikachukua muda na wakajikuta wanaingia uwanjani pasipokuwa na muunganiko mzuri kiufundi
Kwani wapinzani wetu wameweka wachezaji wao kambini muda mrefu kuliko sisi?

Kubalini tu ukweli kwamba timu yetu na mpira wetu bado una Safari ndefu ya kuelekea kwenye ushindani.
Tate Mkuu Scars denooJ
 
Back
Top Bottom