Sidhani kama uko sahihi kwani nchi zingine zinapewa mda tofauti (mrefu) tofauti na kichwa cha mwendawazimu maana zinafanya vizuriKwanza ieleweke kwamba muda wa kambini inawezekana kabisa ukawa hautoshi kuwaunganisha pamoja wachezaji, kwani kila mchezaji ana mfumo aliouzoea na timu yake, hivyo kuzoea mfumo unaotumiwa na timu ya Taifa inaweza ikachukua muda na wakajikuta wanaingia uwanjani pasipokuwa na muunganiko mzuri kiufundi
Hongera mkuu kwa kupata suluhuDakika 90 zimemalizika 1-1 zimeongezwa dk 4 tuendelee na maombi angalau matokeo yabaki kama yalivyo au tupate goli
Kwani wapinzani wetu wameweka wachezaji wao kambini muda mrefu kuliko sisi?Kwanza ieleweke kwamba muda wa kambini inawezekana kabisa ukawa hautoshi kuwaunganisha pamoja wachezaji, kwani kila mchezaji ana mfumo aliouzoea na timu yake, hivyo kuzoea mfumo unaotumiwa na timu ya Taifa inaweza ikachukua muda na wakajikuta wanaingia uwanjani pasipokuwa na muunganiko mzuri kiufundi
Alikutana kijana wa kiluguru Kibwana Shomari akamtuliza hadi kuombwa sub.Huyu adebayo ni mutu na nusu
Alikutana kijana wa kiluguru Kibwana Shomari akamtuliza hadi kuombwa sub.Huyu adebayo ni mutu na nusu