Toa jibu la kueleweka! Hajaongea siasa,ameuliza swali! Kama una jibu sahihi jibuWachezaji wa timu ya taifa wanaweza wakatoka hata kwenye kijiji kimoja, ilimradi tu wafanye vizuri...
Tuacheni siasa kwenye mambo ya msingi.
Kipi kigumu hapo? Zanzibar ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo maeneo mengine/ mikoa mingine. Sasa kama waliopo huko viwango vyao haviwafikii wa ukanda mwingine unataka wachezeshwe hivyo hivyo ili wacheze hovyo halafu muanze kuzomea. Au mnatakaje?Toa jibu la kueleweka! Hajaongea siasa,ameuliza swali! Kama una jibu sahihi jibu
Cut ndo hawaitambui zanzibarKm stakosea cuf wanaitambua Zanzibar ila FIFA haitambui Zanzibar inaitambia Tanzania
Cuf ipi ya maalim Seif au ya Lipumba?Km stakosea cuf wanaitambua Zanzibar ila FIFA haitambui Zanzibar inaitambia Tanzania
Nadhani ni ya Lipumba.Cuf ipi ya maalim Seif au ya Lipumba?
Upo sahihi, hata kama timu nzima ingetokea Rukwa ilimradi wamekidhi viwango, nakazia tu!Aggrey Morris ni Mzanzibar
Feisal Salum ni Mzanzibar
Kama sikosei hata Mudathir Yahaya.
Lakin wachezaji wa taifa stars wanatakiwa kuwa na viwango bora pasipo kujali wanatokea wapi mradi tu wawe raia wa Tanzania.
Km stakosea cuf wanaitambua Zanzibar ila FIFA haitambui Zanzibar inaitambia Tanzania
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Cuf ipi ya maalim Seif au ya Lipumba?
Himid Mao, Shaaban ChirundaAggrey Morris ni Mzanzibar
Feisal Salum ni Mzanzibar
Kama sikosei hata Mudathir Yahaya.
Lakin wachezaji wa taifa stars wanatakiwa kuwa na viwango bora pasipo kujali wanatokea wapi mradi tu wawe raia wa Tanzania.