cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Nauliza tu ,Taifa Stars wanaoenda Cape Verde au waliocheza na Uganda imejumuisha wachezaji wa Zanzibar ili ule uwakilishi wa Kitanzania uonekane
Wakati Taifa Stars wakiwa uwanjani vibao vya matangazo vitakuwa vimeandikwa
Cape Verde Vs Tanzania
Je Zanzibar iko upande gani?
CAF ilitupilia mbali maombi ya Zanzibar kuwa na timu ya Taifa kwenye nchi moja ya Tanzania
Je wazanzibar wapo upande gan?