Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

Mikeka ishachanika Samia stars 1-2 Nigeria, so wale wa sijui 3-0,5-0 imekula kwenu,Tena stars akikaza hata 2-2 itapatikana hp...
Nimependa batlle la Osimhen Vs Bacca👏
 
Nimekuuliza swali, wakifungwa ndio familia yako itaondokana kwenye lindi la ufukara?
tofautisha kati ya ufukara na furaha,furaha ina nafasi kubwa kuliko ufukara,Samia ni Rais anakila kitu lakini hana furaha
 
Potelea mbali siwezi kuwa miongono mwa walioiharibu inchi kwa kupora uchaguzi halafu wakauwa wanainchi idadi kubwa kuzidi ya wale waliokufa vita vya kagera
kwan ulikuepo kwenye list ukawahesabu, alafu wewe na nan unajihesabu kama wananchi,
 
Back
Top Bottom