OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Just imagine squad yote kuanzia kipa, beki winga viungo mpaka washambuliaji wote ni wa hapa hapa ligi kuu ya NBCPL,
Mnataka wacheze soka safi la kufunguka bila mipango ili iweje?
Hivi mnajua mpira kweli ninyi wachambuzi wa mitandaoni?
Timu ipo nafasi ya pili kwenye kundi, na kama sio makosa ya kibinadamu tungeokota point moja ya DR CONGO tena ugenini kabisa.
Timu ambayo imesheheni vijana kutoka vilabu vikubwa huko ulaya.
Guinea pia inamastaa kibao kutoka ulaya ila tuliifunga huko huko kwao
Zambia tukaifunga kwao licha ya kuwa na nyota wakali kutoka ulaya.
Tunashinda kwa mpira wetu huu huu wa mahesabu makali.
Mkongo akivyotufunga vijana wetu walianza kufunguka na kumperekesha mkongo ila mnajifanya hamkuona, uwanja mzima ukiojaa wacongo ulikua kimya utadhani wao ndio wamefungwa mnajifanya hamkuona.
Taifa stars ya sasa ndio timu bora kuliko Taifa stars zote.
Mnaoponda na kukosoa hamjui mpira ninyi ni wacha mbuzi hamna tofauti na kikundi cha wachawi.
Nawasilisha.