Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 14, 2024 #21 Kila la kheri team Tanzania... Cc: Mahondaw
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Oct 14, 2024 #22 Kila la heri Congo DRC
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Oct 14, 2024 #23 Sawa ila hawana KOCHA! GOD BLESS TANGANYIKA
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Oct 14, 2024 #24 Mzize jamani...! Mie sina kbs imani naye.! Anaweza kutushona tena iwapo hajapatiwa MwanaSaikolojia..! Kwamba Afunge goli pinzani.! Aelezwe adui yetu ni wakongomani.. !
Mzize jamani...! Mie sina kbs imani naye.! Anaweza kutushona tena iwapo hajapatiwa MwanaSaikolojia..! Kwamba Afunge goli pinzani.! Aelezwe adui yetu ni wakongomani.. !
Meja mstaafu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 531 Reaction score 1,121 Oct 15, 2024 #25 SAYVILLE said: Wale machotara mliwapeleka wapi? Unajua pesa nyingi sana ilitumika kuwatafuta wale wachezaji. Leo tumerudi tena tunasingizia eti wachezaji wote wa ndani. Kwanza siyo kweli. Kawawa, Mnoga, Allarakhia ni bora kuliko hao mnaowakumbatia. Click to expand... Hao machotara hamna kitu, kama yule mnoga ni jinga kabisa.
SAYVILLE said: Wale machotara mliwapeleka wapi? Unajua pesa nyingi sana ilitumika kuwatafuta wale wachezaji. Leo tumerudi tena tunasingizia eti wachezaji wote wa ndani. Kwanza siyo kweli. Kawawa, Mnoga, Allarakhia ni bora kuliko hao mnaowakumbatia. Click to expand... Hao machotara hamna kitu, kama yule mnoga ni jinga kabisa.
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Nov 19, 2024 Thread starter #26 Haya sasa mimi niliwahi kusema mapema wengi mkawa hamuoni kile ambacho nakiona Wqchambuzi mtabadili gia angani?
Haya sasa mimi niliwahi kusema mapema wengi mkawa hamuoni kile ambacho nakiona Wqchambuzi mtabadili gia angani?
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Nov 19, 2024 Thread starter #27 Msela Wa Kitaa said: Dah watz tuna gonjwa la kusahau mapema, hivi umesahau soka bovu lililopigwa dhidi ya Ethiopia? Tupo home bado tunacheza mchezo wa kujilinda tena kwa Ethiopia? Click to expand... Ndugu yangu upo?
Msela Wa Kitaa said: Dah watz tuna gonjwa la kusahau mapema, hivi umesahau soka bovu lililopigwa dhidi ya Ethiopia? Tupo home bado tunacheza mchezo wa kujilinda tena kwa Ethiopia? Click to expand... Ndugu yangu upo?