Taifa Stars yafa kiume Kampala, yatoka 1-1 na Uganda

Taifa Stars yafa kiume Kampala, yatoka 1-1 na Uganda

Kupata draw Kampala sio mwanzo mbaya kwa Mkwasa na Mourinho! Nilimchoka sana tule kocha pendwa wa Malinzi!
 
Nalianzisha. Kocha tusimpe yale mamilioni ya mzungu.
 
Wamekufa kiume ikiwa na maana hawzai tena ama?
Natania tu,ila kwa hawa wachezaji wetu ambao wengine walikuwepo tangu enzi za maximo hawana jipya. Tutimue wote,kuanza upya sio ujinga.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kufa kiume ndio nini?
Kwani kuna kufa kike?
Kufa ni kufa tu
Mpira hatujui
Kazi hatufanyi
Uchumi hatukuzi
Elimu duni
Siasa hatujui
Tumebaki kupiga makofi ya kinafiki na fitna tu ndio zetu

Nakusema ndiyooo bila kufikri kusaini. Mikatabafeki kama chief mangungo
 
Wale Wa Toto walio chukua kombe Brazil wako wap?afu mbona mitaani kuna vijana wazuri zaid ya hawa wanao itwa taifa......z.kweli bola tufunge soka mpaka tutakapo pata m4c mijitu iko bizy na ten percent inakelaaa sana MPA kchwa knaenda upande kilakola tunafeli hakuna chakujivunia pamba......vuu kabisa.

Ivi serenget boys wapo wap
 
kwa sisi wapenzi, mashabiki wa damu kabisa na pia wafuatiliaji wa timu yetu ya taifa hakika tumetiwa faraja na mwanzo mzuri wa kocha, maaana tulifululiza mechi saba bila pointi hata moja, bila goli hata moja la kufunga, na magoli 11 ya kufungwa, leo tumepata goli, tumepata pointi tena ugenini halafu watu wanabeza???? mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Heko Mkwasa, Heko Taifa Stars. Mungu ibariki Tanzania
 
Mimi ni mtanzania ila timu yangu ya taifa ni cameroon.
 
Acha unyanyapaa kufa kiume kitu gani, imesaidia nini. Sisi ni wahapahapa

Wamejitahidi kama tulichapwa home 3-0 lakini Leo Bocco kafunga dk59 na wao kusawazisha dk85.Ndo maana nimesema tuwekeze kwenye soka la vijana ili tusiwe wahapahapa

Ni kweli taifa limekuwa haliendi mbele' mifumo yetu inatakiwa kuhuishwa na kuondoa upenzi wa kinafiki

Siasa imeingia kila eneo ,tuliowapa dhamana ya kusimami mchezo wanaendeleza siasa tu.Timu ya vijana copa coca-cola iliyoenda Brazil ilitakiwa kuendelezwa lakini wapi tunang'ang'ana na wachenzaji walewale

Tanzania tuhamishiwe ule ukanda wa Tuvalu, Tahiti, Sao Tome And Principle, Republic of Nauru. Huko tutashiriki Word Cup kila siku.
kufa kiume ndo kifo gani icho...!!? na argentin wasemeje...!!?? ni bora tuvunje team na tujitoe kwenye michuano yote ndani ya miaka 5.
 
Nimependa performance ya Stars jana. Kosa ni la Malinzi kumkumbatia Nooij. Nashangaa kwa nini bado yupo TFF.
 
Taifa stars ilifia mikononi mwa Nooij na imezikwa rasmi chini ya uangaliz wa Mkwasa
 
Back
Top Bottom