adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Inauuma sisi ni taaaaabummoja wao yuko serengeti anacheza timu ya kijiji
Kufa ni kufa tu, hamna kike wala kiume. Lakini ni mwanzo mzuri kwa mkwasa ukiangalia mda aliokaa na timu
Kufa kiume ndio nini?
Kwani kuna kufa kike?
Kufa ni kufa tu
Mpira hatujui
Kazi hatufanyi
Uchumi hatukuzi
Elimu duni
Siasa hatujui
Tumebaki kupiga makofi ya kinafiki na fitna tu ndio zetu
Wale Wa Toto walio chukua kombe Brazil wako wap?afu mbona mitaani kuna vijana wazuri zaid ya hawa wanao itwa taifa......z.kweli bola tufunge soka mpaka tutakapo pata m4c mijitu iko bizy na ten percent inakelaaa sana MPA kchwa knaenda upande kilakola tunafeli hakuna chakujivunia pamba......vuu kabisa.
Kufa ni kufa tu, hamna kike wala kiume. Lakini ni mwanzo mzuri kwa mkwasa ukiangalia mda aliokaa na timu
Acha unyanyapaa kufa kiume kitu gani, imesaidia nini. Sisi ni wahapahapa
Wamejitahidi kama tulichapwa home 3-0 lakini Leo Bocco kafunga dk59 na wao kusawazisha dk85.Ndo maana nimesema tuwekeze kwenye soka la vijana ili tusiwe wahapahapa
Ni kweli taifa limekuwa haliendi mbele' mifumo yetu inatakiwa kuhuishwa na kuondoa upenzi wa kinafiki
Siasa imeingia kila eneo ,tuliowapa dhamana ya kusimami mchezo wanaendeleza siasa tu.Timu ya vijana copa coca-cola iliyoenda Brazil ilitakiwa kuendelezwa lakini wapi tunang'ang'ana na wachenzaji walewale
kufa kiume ndo kifo gani icho...!!? na argentin wasemeje...!!?? ni bora tuvunje team na tujitoe kwenye michuano yote ndani ya miaka 5.Tanzania tuhamishiwe ule ukanda wa Tuvalu, Tahiti, Sao Tome And Principle, Republic of Nauru. Huko tutashiriki Word Cup kila siku.