Taifa Stars yafungwa na Libya

Mbilimbi Mbovu

Senior Member
Joined
May 25, 2015
Posts
185
Reaction score
119
Timu ya taifa ya Tanzania ilipoteza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Libya kwa magoli 2-1, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Kartepe1 nchini Uturuki.

Goli pekee la Tanzania lilifungwa na John Bocco.

 
Unatukatia stimu.tuko jangwani kwanza
 
Jamal Malinzi assalam aleykum,,,hongera kwa kipigo kiduchu cha timu yako,,,,,tujitahidi na Nigeria tufungwe 1-0
 
Last edited by a moderator:
Eti Kwa mpira huu ndio mnawadanganya watz kuwa Nigeria lazima akayeeee!!! mpira ni sayansi na sio siasa.
 
Nitafunguka vizuri kesho leo jangwani kwanza.
 
Pigia kura Eddo tu hata matokeo ya stars nayo yatabadilika tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…