Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Yaani we jamaa sijui ni mtu wa namna gani!..kila jambo zuri lifanyikalo tz we unapinga tu..!! We ni kupinga tu..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kusahau sisi ni bingwa mtetezi mara mbili mfufulizo πππMtu kala 9 tunamsubiri jirani maana anachonga sana eti watanzania wako lezi wakati TZ ni Spain ya E.A
Wataisoma namba na wanakazi kupola na lile kombe la chini ya miaka 20 a.k.a ngorongoro heroesBila kusahau sisi ni bingwa mtetezi mara mbili mfufulizo [emoji23][emoji23][emoji23]
πππ[emoji16][emoji16][emoji16]Wataisoma namba na wanakazi kupola na lile kombe la chini ya miaka 20 a.k.a ngorongoro heroes
Yaani we jamaa sijui ni mtu wa namna gani!..kila jambo zuri lifanyikalo tz we unapinga tu..!! We ni kupinga tu..
Mkuu
Acha unafiki!
Ni timu ya CcM,unajitia ni timu ya taifa zima?
Ilikua timu ya taifa zima 2015 kurudi nyuma!
Hili unalijua unakataa kinafiki tu!
To be precise ni timu ya bwana βdasalama mkoa wanguβ!
You know dat nigga!
Si kweli
"Yule jamaa"mkoa wangu" hata mi mwenyewe simkubali"
Speak to yourself,Ndio mwenye timu,yeye na ccm na serikali takatifu ya awamu ya tano!
Ndio ilivyo!
Ndio maana timu ya taifa imekua inachukiwa this time than any other time in history!
Shida ndio hiyo!
Tatizo watu mmejaa unafiki mnajifanya hamuoni!
Speak to yourself,
Ingekuwa inachukiwa basi mashabiki wangekuwa hawajai uwanjani,
Vitu vingine hata sio vya kupinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu kama wewe ndio mnafanya upinzani waendelee kupoteza ushawishi,Wanajaa according na takwimu gani?
Na watu milioni 60 wanaweza kujaa uwanjani?
Wanaoenda uwanjani ni 60k tu karibu 1% ya nchi!
The rest 98% una assume wote tunaipenda kwa lipi?
Ilipofungwa juzi ilikua ni vigelegele all across the country,unajua sababu?
Shida ni kuchanganya unifying events za nchi na kikundi kidogo cha siasa!
Thats the problem!
Usiseme hujui hili maana mmejaa unafiki!
Na mimi najiongelea mwenyewe,otherwise ni maoni kwendana na ninavyoona mimi binafsi yangu,huna haja ya kufatilia nachosema!
Fikeni women world cup kwanza ndio mwanze kujisifu,TZ tunafanya vitu kwa malengo na sio kwa misifa
Wewe una mapepo, nakushauri uende kuombewa.Ndio mwenye timu,yeye na ccm na serikali takatifu ya awamu ya tano!
Ndio ilivyo!
Ndio maana timu ya taifa imekua inachukiwa this time than any other time in history!
Shida ndio hiyo!
Tatizo watu mmejaa unafiki mnajifanya hamuoni!
Hahaah punguza wivu kijana,Fikeni women world cup kwanza ndio mwanze kujisifu,
Mnakutana na nchi ovyo ndio mjione magwiji,,
Fuateni nayo za kina Cameroon,nigeria, Senegal, Ghana zinazoenda hadi Olympics si upuzi za east Africa ata cup of nation bado
Eti Cup of nation bado! Ww siyo mzima, unaongea usiyo yajua BTW hao ni mabingwa wa COSAFA pia.Fikeni women world cup kwanza ndio mwanze kujisifu,
Mnakutana na nchi ovyo ndio mjione magwiji,,
Fuateni nayo za kina Cameroon,nigeria, Senegal, Ghana zinazoenda hadi Olympics si upuzi za east Africa ata cup of nation bado
Sisi tunatamba Kwa global championships ata si continental or East....Hahaah punguza wivu kijana,
Kwani nyie mmefika wapi embu tuambie πππ
Yes....Eti Cup of nation bado! Ww siyo mzima, unaongea usiyo yajua BTW hao ni mabingwa wa COSAFA pia.
Unachange gear hewani ili iweje.Sisi tunatamba Kwa global championships ata si continental or East....
Rugby
Volleyball
Kibadii
Athletes
Netball
Swimming...
Hizi zote zimetuwakilisha vizuri Kwa world cups,olympics,IAAF, etc.
KunA life nje ya local football