Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Huyu akili zake hizitofautiani na tundu au wale wanaojiita wapinzani wanathibitisha sasa kama wao wapinzani wa kweli kila kitu wanapinga tu sasa hueleweki kama hata jambo ambalo wananchi wanalifurahia unalipinga sasa kama utapewa madaraka c ndo utawakera wananchi maana utafanya vitu wasivyovipenda kwasababu vitu wanavyovipenda wewe uvipendi
Yaani we jamaa sijui ni mtu wa namna gani!..kila jambo zuri lifanyikalo tz we unapinga tu..!! We ni kupinga tu..