Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

Je hii Ina maana Gani..

..Simba kuitwa wachezaji wa 3.......

Azam wachezaji....5

Yanga wachezaji 7????

Je Ina maana Gani???
a) uwezo wa Simba ume drop

b) Simba hawana resources za wachezaji wa ndani

c). a b na c ni sawa
Jibu linajulikana tu Simba Awana ubora wa wachezaji Bali Wana lundo la wachezaji, anzia kwenye back line nitajie beki wa Simba mwenye ubora Kama wa Ibrahim baka, bakari mwamnyeto ama diksoni jobu, ukitoka hapo nenda kwenye kiungo ni nani pale anamuweka benchi mudathiri, nenda kwa mshambuliaji ni nani pale anamuweka benchi mzize, kwaiyo ata makocha wanaangalia kwa jicho la kiufundi wanaona Amna kitu pale zaidi ya propaganda tu za viongozi wao
 
Umechambua vzr mkuu
 
Acha kutuzingua,kamuulize Morroco
 
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025).

ALLY SALIM (SIMBA SC) GK
ABOUTWALB MSHERY (YANGA) GK
YONA AMOS (PAMBA SC) GK

LUSAJO MWAIKENDA (AZAM FC)
NATHANIEL CHILAMBO (AZAM FC)
MOHAMED HUSSEIN (SIMBA SC)
DICKSON JOB (YANGA)
PASCAL MINDO (AZAM FC)
IBRAHIM HAMAD (YANGA)
BAKARI NONDO (YANGA)
NICKSON KIBABAGE (YANGA)
ABDULMALIK ZAKARIA (MASHUJAA FC)
ADOLF MTASINGWA (AZAM FC)
HIMID MAO (TALAAL EL GEISH, MISRI) NOVATUS DISMAS (GOZTEPE, UTURUKI)
MUDATHIRI YAHYA (YANGA)
HUSSEIN SEMFUKO (COASTAL UNION)
EDWIN BALUA (SIMBA SC)
FEISAL SALIM (AZAM FC)
WAZIR JUNIOR (DODOMA JIJI)
CYPRIAN KACHWELE (VANCOUVER WHITECAPS, CANADA)
CLEMENT MZIZE (YANGA)
ABEL JOSIAH (TDS TFF ACADEMY)

#WasafiSports
Weka takwimu sawasawa:

Yanga - Wachezaji 7
Azam - Wachezaji 5
Simba-Wachezaji 3
Timu nyingine za ndani ( Pamba, (1), Mashujaa (1), Coastal (1), Dodoma jiji (1), TFF -TDS Academy(1)) Jumla wachezaji 5
Timu nyingine za Nje ( Vancouver White Caps Canada, (1), Goztepe Uturuki (1),Traala El Geish Misri(1)) Jumla wachezaji 3
 
Jibu linajulikana tu Simba Awana ubora wa wachezaji Bali Wana lundo la wachezaji, anzia kwenye back line nitajie beki wa Simba mwenye ubora Kama wa Ibrahim baka, bakari mwamnyeto ama diksoni jobu, ukitoka hapo nenda kwenye kiungo ni nani pale anamuweka benchi mudathiri, nenda kwa mshambuliaji ni nani pale anamuweka benchi mzize, kwaiyo ata makocha wanaangalia kwa jicho la kiufundi wanaona Amna kitu pale zaidi ya propaganda tu za viongozi wao
Imeenda hiyo.
 
Weka takwimu sawasawa:

Yanga - Wachezaji 7
Azam - Wachezaji 5
Simba-Wachezaji 3
Timu nyingine za ndani ( Pamba, (1), Mashujaa (1), Coastal (1), Dodoma jiji (1), TFF -TDS Academy(1)) Jumla wachezaji 5
Timu nyingine za Nje ( Vancouver White Caps Canada, (1), Goztepe Uturuki (1),Traala El Geish Misri(1)) Jumla wachezaji 3
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom