Taifa Stars yatolewa CHAN baada ta kutoka suluhu na Amavubi Stars ya Rwanda

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Timu ya Taifa Stars imeyaaga mashindano ya CHAN jioni hii baada ya kutoka suluhu ya magoli 0-0 na Timu ya Taifa ya Rwanda(Amavubi Stars).

Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo dhidi ya Amavubi

1. Aishi Manula
2. Boniphace Maganga
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Salim Mbonde
6. Himid Mao
7. Simon Msuva
8. Mzamiru Yassin
9. John Bocco
10. Raphael Daudi
11. Shiza Kichuya

Kikosi cha akiba

12. Said Mohamed
13. Hassan Kessy
14. Nurdin Chona
15. Salimin Hoza
16. Said Ndemla
17. Joseph Mahundi
18. Stamili Mbonde
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa rais wangefikia mgulani

Uongozi wote TFF wangehenya mwezi Mzima pumbaf
 
Warudi nyumbani waje kujiandaa na ligi yetu ya simba na yanga....
 
Nashauri Taifa starz isishiriki mashindano yoyote kwa miaka mitano tujiandae kwanza maana tunatia aibu.
 
Semeni mtibwa na simba zmetolewa. Kichuya kakosa magoli mengi tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…